Sunday, April 3, 2016

MWALIMU KUTOKA UK WORLD WIDE RADIO MR CHRISTOPHER SINGH AFANYIWA TAFRIJA FUPI NA CHUO CHA HABARI MAALUM




Mkuu wa chuo,walimu na wanafunzi wakiwa kwenye picha ya pamoja
baada ya Tafrija fupi yakumuaga Mr Christopher Singh na Mr Matrin Malima
                                     
Mr Christopher Singh akiwa na mhitimu wa Course ya video
Mr Matrin Malima

 Wanafunzi nao walimpatia zawadi Mr Christopher Sing,kama shukrani kwa 
muda aliojitolea kuja kuwafundisha,
 Maneno hayo yalisemwa na mwakilishi wa wanafunzi.
     Mkuu wa chuo naye alimzawadia  Mr Christopher,Shati la asili pamoja na 
kifungulio cha soda  cha asili ya kitanzania     
 Mr Christopher Sing akitoa shukrani zake kwa kuonyeshwa
 upendo kutoka kwa walimu na wanafunzi wa chuo cha Habari maalum

             
    Walimu wa Chuo cha Habari maalum, Mshauri wa Wanafunzi Nestory ihano,
Mr christipher Sing Mkuu wa chuo Mr Jackson Kaluzi,
Makamu wa chuo Taaluma Mr Lazarus laizer

No comments:

Post a Comment