Thursday, July 21, 2016

RAISI WA UTURUKI ATANGAZA HALI YA HATARI YA MIEZI MITATU


  Hali ya hatari ya miezi mitatu imetangazwa na Raisi wa UTURUKI, RECEP TAYYIP ERDOGAN ni siku tano baada ya kushindwa jaribio la mapinduzi na huku kukiwa na ukandamizaji mkubwa dhidi ya maelfu ya wanachama wa vikosi vya usalama, mahakama, utumishi wa umma na wasomi